Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,184
kariakoo kuna duka la discount kubwa apo uwa zipo but for now cpu zimeisha za 140 ..,zipo za 188,000 so cpu nikanunulia duka lingne laitwa it park computer liko mtaa wa kongo kkooumenunua sehemu gani mkuu?
haha mjini hatar..,Jaman apo kkoo kuna duka la TAWFIQ COMPUTER jamaa anauza bei poa ila tangu ninunuage had Leo duka nalitafutaga silioni...wala ule mtaa siuonagi dah kkoo nimeuvulia kofia ukizingatia mgeni pande izo.....
Watakuwa wamehama na hilo duka likawa linauza bidhaanyingine kabisa.Jaman apo kkoo kuna duka la TAWFIQ COMPUTER jamaa anauza bei poa ila tangu ninunuage had Leo duka nalitafutaga silioni...wala ule mtaa siuonagi dah kkoo nimeuvulia kofia ukizingatia mgeni pande izo.....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] umenikumbusha niliwahi paki gari nikavuka mtaa kurudi pekeyangu sikuiona gari nilitafuta mpaka nikaomba msaada msimbazi polisiJaman apo kkoo kuna duka la TAWFIQ COMPUTER jamaa anauza bei poa ila tangu ninunuage had Leo duka nalitafutaga silioni...wala ule mtaa siuonagi dah kkoo nimeuvulia kofia ukizingatia mgeni pande izo.....
Mkuu bado unayo?
Ninayo bei chee cpu HP 500B nicheck kwa 0718019595 nikupe kwa 100
Mkuu nahitaji cpu vp bado unayo na je specifications zake zipoje?
Ninayo bei chee cpu HP 500B nicheck kwa 0718019595 nikupe kwa 100