Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 905
- 1,410
- Thread starter
- #21
Ndio. miongozo mizuri sana.. Naanza kuifanyia kaziNatumae mleta mada umepata muongozo...
Ndio. miongozo mizuri sana.. Naanza kuifanyia kaziNatumae mleta mada umepata muongozo...
Ficha ujinga wakoNdio ya kuuza bar unaweza
Dah , kipengele jinsi ya kuwapataMkuu Graduate wengi wa IFM wako Bukoba Karagwe wanakula Maisha watafute wakupe connection Mkuu .
Ukiwa graduates kokote kambiMkuu fatilia kuhusu Karagwe naona Graduate wakienda huko wanapata Maisha Mimi Mwenyewe soon ntaenda Kuna Mwanangu yupo NMB pale kanipa hints na Maisha yapo cheap hapa namuuguza Mzee akipona lazima niingie intirio
Inawezekana ila uwezekano wa kuitwa kwenye usaili ni mdogo sana kwakuwa wewe umeweka transcript wenzako wengi wameweka vyeti na transcriptWakuu habari..
Kama kichwa cha habari hapo, kinanavyo sema, naweza kuomba ajira kupitia Academic Transcript, huku nikiwa nasubiria cheti..
Je nikiwek vyeti bilaa transcript je maan tranacript sina nawez omba serikali na kuitwaInawezekana ila uwezekano wa kuitwa kwenye usaili ni mdogo sana kwakuwa wewe umeweka transcript wenzako wengi wameweka vyeti na transcript
Omba ila probability ni ndogo ya kuitwa kwanini usishughulikie transcript zako.Je nikiwek vyeti bilaa transcript je maan tranacript sina nawez omba serikali na kuitwa
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Transcript zipo mbali kdg ilaa mda kuomba umeisha tyr mm nisbr majib maan nimeomba ivii kawaid mechanical sio zilee kutak gpa za lectureOmba ila probability ni ndogo ya kuitwa kwanini usishughulikie transcript zako.