Mnyampaa msingida
Senior Member
- Aug 5, 2013
- 180
- 54
Nina tamaa ya kujifunza lugha ya kiarabu. naombeni msaada wa wanajukwaa je kozi ya lugha ya kiarabu inatolewa sehemu gani kwa hapa Dar?
Sehemu ziko nyingi,lakini ya urahisi kukuelekeza ni pale Msikiti wa Magomeni mataa.Nina tamaa ya kujifunza lugha ya kiarabu. naombeni msaada wa wanajukwaa je kozi ya lugha ya kiarabu inatolewa sehemu gani kwa hapa Dar?
mtafute kalapina atakusaidia..Nina tamaa ya kujifunza lugha ya kiarabu. naombeni msaada wa wanajukwaa je kozi ya lugha ya kiarabu inatolewa sehemu gani kwa hapa Dar?