Hivi kwanini wabongo hatujengi jiko na dining pamoja? naona hii inapunguza nafasi kubwa sana kwenye nyumba.
umeona eeh? hata mie nimeihifadhi nikiwa dar nitawa PM wote mafundi wa humu mliojitokeza.....
Huyo mwita hajui lolote.haon nguruwe unafugia kwenye ardhi ya nani?? ungeweka na pango la ardhi mwita 25 ccm !!!!!!!
Mimi kwa nyumba ya vyumba vinne naanza na milioni 100 kwa uchache
Ahsante
wewe utakuwa mchina tuu!Mimi kwa nyumba ya vyumba vinne naanza na milioni 100 kwa uchache
Ahsante
gharama za ujenzi ziko juu sana.Finishing uuuwi............Exactly.. Akiondoa gharama za msingi pengine million 20 inaweza labda kutosha, #justsaying
Hivi kwanini wabongo hatujengi jiko na dining pamoja? naona hii inapunguza nafasi kubwa sana kwenye nyumba.
jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo dar kwa milioni 20????niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...
thanks,