Naweza kuhamisha data kabla ya kufomart?

Naweza kuhamisha data kabla ya kufomart?

Mjasiria Akili

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
823
Reaction score
372
Naomba msaada,
Memory card yangu imekataa kusoma kwenye simu inataka niformat nimeweka kwenye pc inasema hivyo hivyo ninachotaka kujua nikitaka kuformat inasema itafuta all data sasa je hizi data niwezaje kuzihamisha manake ina data za muhimu sana
 
Hapo km memory imegoma kusoma kabisa itabid u format then utafute application inaitwa software recover hii software itakusaidia kurudisha deleted fata
 
Hii software inapatikana google au?
Chakufanya:
Jaribu kuweka kwenye simu nyingine kama itakuambia hivyo (Uformat) ikiwezakana tafuta simu za button uweke. Ikishindikana
Format kisha tafuta Easeus data recovery au wondershare data recovery au data recovery yyte km utaipata

Yakuzingatia.
Baada ya kuformat usiweke kitu chochote mpaka utakapofanya data recovery sbb inaweza sabbisha kutopata data zako.
 
Back
Top Bottom