wakuu za jion kwa jina naitwa noel . nilichaguliwa kujiunga na chuo kikuu kinacho itwa Cavendish univasity Uganda . na pia mm ni mwajiliwa selikalin so niliomba luhusa ya kusoma nikakataliwa .sasa wakubwa naomba kujua Kama nitaweza kubadilisha chuo kutoka icho chuo cha Uganda na kusoma labda open university au chuo chochot Tanzania au nifanyaje ushauli plz na nilichaguliwa kusoma bachelor of science in computer science
msaada plz nawasilisha