Mwenye kukijua Chuo cha Cavendish University Uganda msaada

Mwenye kukijua Chuo cha Cavendish University Uganda msaada

ant robbery

Senior Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
111
Reaction score
53
Za jion wakubwa samahan Ninashida nauliza anaekijua chuo kinachoitwa Cavendish univasity Uganda tafadhali naomba anisaidie.

Nilikuwa nimefanya application nikakubaliwa sasa sijajua kikoje ila admition letter nimetumiwa leo.

Nawasilisha
 
Hey jamani mbona kimy kwaiyo watu wote hatukifahamu jamani
 
WALIO SOMA CAVENDISH UNIVERSITY UGANDA NAITAJI NAMBA ZENU ZA WHATSAPP KWA MSAADA ZAIDI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom