Naweza kubadili windows phone kuwa android?

Naweza kubadili windows phone kuwa android?

Bzimana

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
554
Reaction score
161
Habari wana jukwaa ?

Nina simu aina ya HTC pro touch 2 ni window phone, nilipata tetesi za juu juu yapo maujuzi ya ku-root window phone na kuwa android.

Mwenye kufahamu ujuzi huu naomba anisaidie.
 
Labda iwe windows mobile, sijawah skia windows phone ambayo inaweza change kuwa android.
 
tofauti ya phone na mobile ni ipi?

Windows mobile ni ya zamani sanaa, ilivuma sana muongo uliopita 2000 hadi 2010. Wakati windows phone ni mpya tunayo sasa hivi sana ipo kwenye lumia.

na kuanzia windows 10 windows phone nayo inakufa.
 
Nadhani ulimaanisha Windows phone.

Windows mobile kitambo sana.

Ushauri: jipinde tu mkuu uchukue hata Tecno maana hiyo makitu itakusumbua sana kila siku utakesha ku-google bugs kibao.
 
Labda iwe windows mobile, sijawah skia windows phone ambayo inaweza change kuwa android.

Umekariri wewe!! Tena ukijitizama wew ndo upo cha kike!! Hujui hata masim ya ttcl yale ya kulipia barabalan nayo ni phone???
Neno mobile ndo unakua specific sio phone cos neno phone lipo general sana
 
Umekariri wewe!! Tena ukijitizama wew ndo upo cha kike!! Hujui hata masim ya ttcl yale ya kulipia barabalan nayo ni phone???
Neno mobile ndo unakua specific sio phone cos neno phone lipo general sana

duh unajua kua windows phone na windows mobile ni software na sio hardware?

na pia neno mobile linamaanisha kitu unachoweza kukihamisha kirahisi hata laptop ni mobile
 
Window ndo software sio window mobile wala window phone! Otherwise kuna window dell ambayo ni sw pia

fanya uchunguzi kaka, mimi natumia nokia lumia ambayo software yake inaitwa windows phone

Nokia-Lumia-920-Now-Shipping-with-Windows-Phone-8-Portico-2.jpg
 
Umekariri wewe!! Tena ukijitizama wew ndo upo cha kike!! Hujui hata masim ya ttcl yale ya kulipia barabalan nayo ni phone???
Neno mobile ndo unakua specific sio phone cos neno phone lipo general sana

Window ndo software sio window mobile wala window phone! Otherwise kuna window dell ambayo ni sw pia
Mkuu upo choo cha kike paseee
 
Nina zibadirisha hzo htc tuma model inakua Android os 4.2
 
0754 60 45 67.htc ninabadirisha zinakua Android 4.2
 
Back
Top Bottom