IN JESUS WE TRUST
Member
- Jun 14, 2023
- 20
- 11
Hiivi naweza kubadili kozi ya kusomea maana nmepangiwa DIT na serikali. Je, naweza kubadili kama nkifika chuo, inawezekana? 🤔
mining engineering nataka bio medicalUmepangiwa kozi gani na unataka kozi gani?
Umetoka O-LEVEL ama ADVANCE ?mining engineering nataka bio medical
o levelUmetoka O-LEVEL ama ADVANCE ?
Yote yanawezekana ila mchakato ndio huwa tofauti.
Unaruhusiwa kubadilisha kupitia nacte/or-tamisemi ingia... Nenda kwenye selection uliopangiwa kwa kupitia namba yako ya mtihani .o level

Sawa na je nkifika chuon hili zoez Hali wez kufanyikaUnaruhusiwa kubadilisha kupitia nacte/or-tamisemi ingia... Nenda kwenye selection uliopangiwa kwa kupitia namba yako ya mtihani .
NB: utaletewa vyuo na fani nyingine unazoweza kuzisoma kulingana na matokeo yako ya NECTA .
Zoezi hili huwa na muda maalumu, sio zoezi endevu.
Ukishindwa njoo na pesa ya MB chapu![]()
Itategemea na intake ya chuo husika . Kama idadi ya wanafunzi watajitosheleza , kila mtu itabidi apambane na fani yake. Kutoka O-LEVEL ni complicated kuliko wanaotokea ADVANCE.... Haswa kwako wewe ambae umepata ufadhili wa serikali..Sawa na je nkifika chuon hili zoez Hali wez kufanyika
Oky Sawa nmekuelewa kakaItategemea na intake ya chuo husika . Kama idadi ya wanafunzi watajitosheleza , kila mtu itabidi apambane na fani yake. Kutoka O-LEVEL ni complicated kuliko wanaotokea ADVANCE.... Haswa kwako wewe ambae umepata ufadhili wa serikali..
UTAPIGWA TUKIO , ukose huo ufadhili.
Kinyume na hapo ukifika chuo kapenyeze rupia kwa Cordinator na Academician.
samahani unaulza hv unauelewa juu ya mining engineering diploma kwa soko la ajiraItategemea na intake ya chuo husika . Kama idadi ya wanafunzi watajitosheleza , kila mtu itabidi apambane na fani yake. Kutoka O-LEVEL ni complicated kuliko wanaotokea ADVANCE.... Haswa kwako wewe ambae umepata ufadhili wa serikali..
UTAPIGWA TUKIO , ukose huo ufadhili.
Kinyume na hapo ukifika chuo kapenyeze rupia kwa Cordinator na Academician.
Unataka ushauri ?samahani unaulza hv unauelewa juu ya mining engineering diploma kwa soko la ajira
Ngoja saa hivi nidhurure dhurure humu JamiiForumsamahani unaulza hv unauelewa juu ya mining engineering diploma kwa soko la ajira

sawaNgoja saa hivi nidhurure dhurure humu JamiiForum![]()
visionUnajiita engeneer hata chuo hujafika
Izo zote ha Ina ishu Bora somea Electrical, mechanic,computer hiyo biomedical engineering utatengeneza vifaa gani vya tiba CT scan aumining engineering nataka bio medical