Naweza kuanza kusoma degree NIT?

Naweza kuanza kusoma degree NIT?

kanumi jr

Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
19
Reaction score
1
Naomba msaada wenu!

Kama umefaulu vizuri kidato cha sita kupitia masomo ya arts naweza nikaanza kupata degree na naweza kusomea Transport and Logistic?

Msaada wana JF!
 
Bila shaka ndugu. Wewe nenda pale watakupa muongozo...
 
Inawezekana japo nafasi ni chache sana n hujaweka wazi utajisomesha au utaomba mkopo fafanua nikusaidie
 
Kuna jamaa angu nimemaliza naye advance, kapiga HGL ila yupo hapo NIT Mwaka wa kwanza.
 
yah, unaweza kusoma degree ya L & TM NIT provided unpass ya basic maths at O-Level.
 
hata mm nlxoma hkl ila nkapata hyo logstc n transprt managment ya NIT mwaka jana ila mkopo ni bahat nasibu
 
ARTS???:decision: KAMA UKO VIZURI KWENYE MAHESABU, UCHUMI NA BOOK KEEPING NJOO BABA.... KUNA WATU WALIOSOMEA ARTS WANAJUTA KUISOMEA HIYO COURSE SABABU WALIJUA NI MTEREMKO TU WAKAKUTA MAHESABU,UCHUMI NA BOOK KEEPING ZA KUTOSHA...ILA NISIKUKATISHE TAMAA VIGEZO UNAVYO NJOO,, UKIONA MZIKI MZITO JARIBU ''ANY ARTS RELATED COURSE'' :hand:.......
 
Soko la ajira liko vipi kwa hiyo kozi,
 
inategemea na wewe utaspecialize wap kwenye transport au logistics...ni chaguo lako... lakini soko la ajira offcourse lipo..ila si unajua kibongobongo mpaka uwe na channel mbili tatu hivi kwenye hiyo secta ya ajira husika...
 
arts???:decision: Kama uko vizuri kwenye mahesabu, uchumi na book keeping njoo baba.... Kuna watu waliosomea arts wanajuta kuisomea hiyo course sababu walijua ni mteremko tu wakakuta mahesabu,uchumi na book keeping za kutosha...ila nisikukatishe tamaa vigezo unavyo njoo,, ukiona mziki mzito jaribu ''any arts related course'' :hand:.......

usitishe watu kwanza chuo hamna bookeping ila ni part of accounting principles zen kwa chuo kawaida me nipo pale second year bba mwache awe huru na mkopo km unanyota ya lowasa sahau hata km kwenu ni mtoto wa pinda
 
kitaeleweka tuu,,,, halafu nimemwambia kama ana vigezo aende,,, ila kama mziki mzito asiende... HALAFU WEW UKO PALE NIT,, UNAJUA COURSE INAYOKIBEBA CHUO???
 
kitaeleweka tuu,,,, halafu nimemwambia kama ana vigezo aende,,, ila kama mziki mzito asiende... Halafu wew uko pale nit,, unajua course inayokibeba chuo???

acha mawazo mgando wewe nit haipo kama ulivozoea na kukalii ni transport tu sa kama ujui had banking and finance comming soon we kalili tu
 
Back
Top Bottom