Naweza kuanza kusoma degree NIT?

Naweza kuanza kusoma degree NIT?

acha mawazo mgando wewe nit haipo kama ulivozoea na kukalii ni transport tu sa kama ujui had banking and finance comming soon we kalili tu

embu rekebisha hayo maneno yenye rangi nyekundu halafu twende sawa,, ili tusimchanganye jamaa anayetaka kuja kusoma hapo NIT unaposoma wewe
 
halafu mbona mkopo waliandika priority kwani ipoje? unaweza usipewe mkopo wakati ni priority kwa coz uliyoomba?
 
Back
Top Bottom