Naweka bondi sim

Naweka bondi sim

Doris Gabriel

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
1,045
Reaction score
869
Naweka bondi simu yangu lenovo A6000 nipo Dar naitaji Mkopo Wa laki 2.5 haina shida yoyote nauza coz matatizo
53651da94b578bd78630590373d1cb36.jpg
841b788d1b0847343726b1211113a562.jpg
fa571e0efcb3ebdde782d761f56887d5.jpg



Original toleo la kwanza alietayari ani pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mfano ukashndwa kulipa io hela thaman ya cm hailingan na pesa..... Yan utakuwa umemuuzia cm io kwa lak 2.5

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ndiomaana sikusema laki 3 wala laki 4 nimesema laki 2.5 Na ata akitokea Wa laki 2 nampa kwasababu naitoa hivi naipenda sana Na haina tatizo lolote yaani hii simu nipo sahihi kabisa nahiyo hela pia japo wakati nanunua nilinunua laki 3 Na nusu nasijaitumia sana sina jinsi bado nahamu nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu inamuda gani tangu uinunue? Listi Yake unayo? Unaweka bondi kwa muda gani? We we unapatikana wapi? UNGETURAHISISHIA KWA KUWEKA HIZO DETAIL.
 
Pia sio mbaya ukieleza angalau uwezo wa Simu ili kumshawishi mteja/ Mkopeshaji ili akukopeshe au ainunue kwa being nzuri, Sio wote tunaojua Aina za Simu na uwezo wake na ubora wa Simu hiyo
 
Back
Top Bottom