Hao ndio wenye maamuzi ya kila jambo humu duniani!Kuna u special upi kwao hawa jamaa?!
Kila mahali RC huwa wanapewa nafasi maalum na pia mkutano wao na kiongozi yeyote yule huwa ni nadra sana kujumuishwa na taasisi zingine.
Rejea jana pale jumba kuu mkutano wao ulikuwa ni peke yao na wale wengine pia walienda kwa mda tofauti-kwanini?!!!
Wajuvi nijuzeni tafadhari!
Ndivyo ilivyo. Hakuna swali.Kwa nini RC ni special?!
Kwanini USA anasauti UN!Kwa nini RC ni special?!
Huyo ndiyo AkiliMoney wakeKwa nini RC ni special?!
Dini ni utaratibu wa mwanadam mwenyewe kumtafuta Mungu.. Hizi dini zimeletwa Na watu wenye akiri Sana tena wenye maslah makubwa ya Miaka 2000 mbele...Kuna u special upi kwao hawa jamaa?!