NAWAZA TU KWANINI MALENGO HUWA HAYATIMII

NAWAZA TU KWANINI MALENGO HUWA HAYATIMII

Achana na huyo mtoto. Ukishaona mtu ana andika ktk mitandao ya kijamii maneno kama 'mama yangu', au 'baba yangu' and that sort of thing, ujue huyo ni mtoto; kajichanganya tu hapa JF!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Umesema ndoa nyingi hazidumu... hii inamaanisha ndoa nyingi zinavunjika..! Are you serious? Hizi stastitics mnazichukulia wapi. Mi kwa mfano mwepesi tu mwaka huu pekee nimeshuhudoa ndoa mpya 13 za ndugu jamaa na marafiki. Wakati huohuo sijashuhudia usambararikaji wa ndoa za ndugu jamaa na marafiki.

Katika historia ya maisha yangu nimeshuhudia zaidi ya ndoa 500 kati ya hizo ni tatu tu so far zimevunjika. Sasa ndoa 3 katika 500 mnachukulia ndio ndoa nyingi..

Hizi shule siku hizi mnaenda kusomea u-Cyprian Musiba?
Asiejua maana haambiwi maana..
 
Sio kila uchumba lazima ufikie kwenye ndoa

Na sio kila ndoa imeandikiwa kudumu milele na milele..ndoa ni uvumilivu na maelewano mazuri kama wawili mlioamua kuingia kwenye ndoa mkijua mmeficha madudu yenu kumbuka uongo hauwezi ishi milele mwisho wa siku kupelekea kushindwana tabia

Wawili walioamua kuingia kwenye ndoa na ikiwa mmoja wapo anatabia za ajabu lakini mwingine akangangana tu kuikubali hiyo ndoa akiamini labda ndoa yaweza mbadilisha mwenza wake na haikutokea vile alivyotaraji hapo uvumilivu hua na kikomo na ndoa huishia hapo.
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ndoa huwa ni pambio tu,cha muhimu ni nyie wenyewe mkubaliane kuwa mtaishi maisha yenu yote kwa pamoja kuanzia kumiliki watoto hadi mali.Kuna vitu huwa vinashawishi mtu kuishi naye,kama mmekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na hakuna kinachoeleweka,jua kuna upande umezembea.....ukishaona uko kwenye mahusiano miezi 6+ jaribu kumbadilisha mtu wako kwenye utafutaji na umiliki.Kama uwepo wako kwake ni kwa sababu ya ngono tu....lazima uhusiano uvunjike.
Noted [emoji817]
 
Ndoa inapita kwa mpango wa Mungu sio mtu.
Wakati watu "wapenzi" wanapanga malengo Mungu nae amepanga alivotaka yeye.
So, we pata experience nenda ulikopangiwa using'ang'anie pasipokuhusu.
 
Ndoa inapita kwa mpango wa Mungu sio mtu.
Wakati watu "wapenzi" wanapanga malengo Mungu nae amepanga alivotaka yeye.
So, we pata experience nenda ulikopangiwa using'ang'anie pasipokuhusu.
Fact
 
Back
Top Bottom