Nawaza kwa kilichotokea Kenya!

Nawaza kwa kilichotokea Kenya!

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,025
Reaction score
137,165
Nimekaa na kuwaza kilicho tokea kenya,ingekuwa tanzania.
Mfano ukawa wangetokea kupinga matokea ya uchaguzi,na wangeenda mahakamani.....je uchaguzi ungerudiwa?

Nawaza tu!

Mrangi from kilosa,morogoro

Ova
 
Back
Top Bottom