Nawauliza wadada kuwa...

honey bee

Senior Member
Joined
Nov 23, 2021
Posts
139
Reaction score
236
Pale wanapopenda. Idea ya kwanza kichwani kwao huwa ni ipi?

Ngojea nifafanue:
Ikitokea nimemkubali msichana flani, niwaze niwazavyo ila mwisho wa siku ntawaza kusex nae kama main root (sitaki matusi) sifahamu kama na kwa men wengine iko hivyo.

Je, wao huwa wanatuwazia nini wanapotupenda 'as main root?'
 
Ikitokea nimemkubali msichana flani, niwaze niwazavyo ila mwisho wa siku ntawaza kusex nae kama main root (sitaki matusi) sifahamu kama na Kwa men wengine Iko hivyo!
Ma Men kujeni mtujuze kwenu main root ni nini? 😛
Son, kwani una miaka mingapi? Hilo tendo hua lipo na halina mjadala kama wote mmeridhiana. Wamama tunawafundisha ma binti zetu - msichana apate kijana awe rafiki, mfariji, msikivu, anaemjali na kumheshimu, mwenye upendo, mpenda maendeleo...and list goes on and on and on....
 
Inategemea nilimtongoza nikitaka nini Kwake, Kuna wengine unafuata mbususu, wengine unatafuta prestige kwingine kitonga cha Maisha(Maza house) Ama lolote lile

Inategemea huyo mchudee nimenuia nini kwake
 
Hata wao wanatafuta mwanaume ili wakapigwe miti mkuu .....

Hata wao wananyege hatari ,bila ukuni kupita katikati ya mapaja wanavurugwa kabisa .....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…