AMRI SABA KWA WAPENDAO OFA:
1.Muheshimu anaekununulia bia
2.Muamkie mtoa ofa kabla hujakaa kitini.
3.Uwe ndie mchekeshaji wa kikao,lakini usimkatishe mtoa ofa mazungumzo.
4.Mtoa ofa akikutuma usikatae.
5.Mtoa ofa akiupenda mziki fulani,wewe anza kucheza kwa bidii kabisa.
6.Usinywe kwa pupa,kunywa mafunda madogo madogo
7.Mtoa ofa akitoa kichekesho cheka sana hata kama hakichekeshi.