Nawatakia wanajf wote mwaka mpya mwema 2014

Nawatakia wanajf wote mwaka mpya mwema 2014

Aine

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,603
Reaction score
489
Ndugu wajajf na Watanzania kwa ujumla, nawatakia wote mwaka mpya mwema, wote tuuone salama.

Lakini pia tujihoji, tumefanya mangapi ya kumchukiza Mungu na mangapi ya kumpendeza Mungu! najua yapo mengi ambayo tumefanya yasiyompendeza Mungu, hivyo basi, mwaka 2014 uwe ni wa tofauti kwetu sote, tumpendeze Mungu, tupendane sote, tusaidiane, tusameheane, tuchukuliane na zaidi sana tuombeane mema ili mwaka huu uwe ni mwaka wa mafanikio zaidi na zaidi na uwe ni mwaka wa amani kwa kila Mtanzania.

Nawatakia mwaka mpya mwema, 2014!!
 
Na wewe pia mkuu.Lakini kuna kitu nami ninataka kukiongezea hapa,binadamu tumekuwa watu wa kupenda kutii sheria kwa shuruti.Hivyo niwashau wandugu tuupokee mwaka wetu mpya kwa amani ifikapo saa 5:59.Tusije tukafanya fujo zinazoweza kutufanya tuweselo
 
Back
Top Bottom