Nawatakia usiku mwema

Sisi wa Madirongs ndiyo tunaamka sasa.
 
Oooh my God!! Sasa wewe wengine tulipo ni mchana.
BIX uwe na mda wa kupunzika bhana,nakushangaa jina kubwa avatar ndo hiyo.
 
Utapiga supu ya kitimoto
asubuhi na hangover lazima utachelewa kuamka halafu mda huo wa supu utatoka wapi mkuu,najua we sahizi ndo mchana kwako
 
Unajua dunia huwa inatofautiana masaa, kwahiyo unapowatakia watu usiku mwema usisahau kuwatakia wengine mchana mwema.
Dah kumbe we upo sayari lingine kabisa
 
Dah!! hayo mauno ya dada nimeyakubali. Nadhani atakuwa ni mmakonde tu huyo. Loh!!.
Angekuwa mmakonde angekuwa amechanjwa chali....labda msukuma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…