Nawatakia Ramadhan Kareem!

Nadhani Ki bakwata bakwata sio leo. Ni kesho. Ila hakuna mtu anaekukataza unaweza kuanza kufunga tangu juzi.

Oooh Owkay kumbe kibakwata bakwata nikajua Kiislam kama ni kibakwata sawa hata wakiamua kesho kutwa wafunge tu ila Kiislam watu wapo ndani ya Swaum. Alhamdulillah.
 
Oooh Owkay kumbe kibakwata bakwata nikajua Kiislam kama ni kibakwata sawa hata wakiamua kesho kutwa wafunge tu ila Kiislam watu wapo ndani ya Swaum. Alhamdulillah.
Ramadan Kareem to you too!
 
Huyu ni shuhuda mwengine Muislam ambaye mpaka kafikia kula kiapo sidhani kama ni kwa maslahi yake binafsi.
 

Attachments

Na hapa Chief Kadhi kampigia simu Kadhi Mkuu wa Mombasa lakini still Kadhi akatangaza kuwa mwezi haukuandama eti kwa kuwa tu kikao kilishafungwa.
 

Attachments

Wale issue za mwezi si sababu sana wao kufunga. Bali wanafuata kalenda zao tu

Lakini kalenda ya Kiislam si inaongozwa kwa kuandama mwezi, sasa iweje mwezi isiwe issue mkuu...?
 
Amiin, Allah atujaalie mfungo mwema kwa wafungaji wote na atupokelee dua zetu pia atuwepesishie magumu yetu insha'Allah

Amin Yaa Rabbil A'alamiyn kwetu pamoja na vizazi vyetu kwa jumla na Waislam wote In Shaa Allah. Amin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…