Yaani mtu akikomenti hivi huwa namuona kama shoga fulani hivi.Nimewahi seat
Kumbe kama shoga mi nilijua anakuwa shoga.Punguza stress ndugu la sivyo kila utakaemuona utahisi anakuzomeaYaani mtu akikomenti hivi huwa namuona kama shoga fulani hivi.
Kuwa nwanaume acha mambo ya kike kike. Kwani ukipita kimya kimya utapungikiwa nini?Kumbe kama shoga mi nilijua anakuwa shoga.Punguza stress ndugu la sivyo kila utakaemuona utahisi anakuzomea
Kafungue forum yako nduguYaani mtu akikomenti hivi huwa namuona kama shoga fulani hivi.
Kwanini?Kafungue forum yako ndugu
Hoja ninayo ila nimewahi seat kwanzaKama huna hoja better keep quite
Nawatafuta jamaa zangu Ndg. Johnson Magawa, Godfrey Pallangyo na Pantaleo Zacheo(aka Mkangara) pamoja na George Kafuka nilisoma na kumaliza nao Astashahada ya Ufugaji Nyuki katika Chuo cha Nyuki Tabora Mwaka 1993. Tangu wakati huo I.e 1993 hatujapata kuwasiliana na kila mmoja wetu hajui mwenzake alipo. Tafadhali kwa mwenye kujua habari za hawa Wandugu tujuzane kupitia Uzi huu