Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
pita njia kuu za kuunganisha mikoa,wilaya, kata, vijiji popote kule utaona mizogo ya mbwa,paka au wanyama wengine wasio liwa.kama utaona mbuzi,ng'ombe,kuku na n.k muda mfupi huwezi wakuta barabarani.nani anawatoa wanaenda wapi?.tunalishwa mizoga.