Mundele Makusu1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,629
- 3,728
Wapendwa katika bwana habari zenu, naomba ushauri wa kozi gani nzuri Kati ya bachelor of science in economic policy and planning ((inayotolewa mzumbe))VS agriculture economics and Agri business((inayotolewa sua)).
Na pia UFAfanuzi kwamba kozi hizi zinahusiana na nn,soko la ajira pia baina ya kozi hizo mbili.
Mimi ni first year to be
Na pia UFAfanuzi kwamba kozi hizi zinahusiana na nn,soko la ajira pia baina ya kozi hizo mbili.
Mimi ni first year to be