Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,448
- 10,765
Msaada nina shida ya kuwashwa na mwili. Sehemu zinazoniwasha ni tumboni chini ya kitovu na mapajani kiasi kwamba zinatoka kama upele.
Nimeenda hospital nimeambiwa nimeze dawa za minyoo na dawa ya Aleji.
Nawashwa sana kwenye mrija wa uume najikuna sana na ngozi ya pumbu inakakamaa.
Msaada.
Nimeenda hospital nimeambiwa nimeze dawa za minyoo na dawa ya Aleji.
Nawashwa sana kwenye mrija wa uume najikuna sana na ngozi ya pumbu inakakamaa.
Msaada.