paul miteda
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 131
- 592
atakuwa ana mimba anataka kukusakizia😳😳😳😳kunasiku nilileta mada hapa kuomba ushauri kuwa wife ananinyima unyumba kila kazi zangu za ujenzi zinapo pungua huwa nakosa ela basi hapo hutokea masimango ugomvi mpaka kunyimwa unyumba.Niliamua kukaa kimya nilitamani hata kufa kumbe hawa wanawake ni viumbe dhaifu sana sikumgusa miezi 4 nikawa siriazi mpaka nikazoea nalala naye hata husia zikapotea kabisa.Toka wiki hii imeanza ananisumbua mara anishike uume lakini nakaza ss hapa nawaza nimpatie au niendelee kukaza??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji871][emoji871][emoji871]miezi 4?? makende si yataburst [emoji23]
[emoji871][emoji871][emoji871]atakuwa ana mimba anataka kukusakizia😳😳😳😳
Kwaiyo ukubwani ndiyo hayatokei????Endelea kukazana[emoji1783][emoji3]
Ndoa za utoton
hapa kunamtu atapigwa na kobiro usiku wa leo .angalia huyu jamaa ni mtu wa kufanyia kazi ushauriKeshapewa mimba huyo unazan miez yote hio hatafunwi, kataa ndoa ndoa niutapeli
Weee😃😃 sema kweli HannahWeee hajui kushawishi huyo. Ningekuwa mimi hapo ungesahau misimamo yako yote na ungenipa tu.
Sikupi ogopa kitu kinaitwa no hisia.Weee hajui kushawishi huyo. Ningekuwa mimi hapo ungesahau misimamo yako yote na ungenipa tu.
miezi 4?? makende si yataburst [emoji23]
unafanya vyema kaka🤝[emoji23][emoji23] daah mimi hata wiki 2 siwezi, wife anapigwa dozi kila baada ya siku 2 na akimaliza period anapigwaga shoo ya kufa mtu na tuna miaka 4 sasa sijawahi kupungua nguvu, hii ni kutokana na ulaji wangu wa vyakula vya asili kila siku