Nawashauri wanaCCM kumpuuza Membe

Nawashauri wanaCCM kumpuuza Membe

Huyu kiumbe anatafuta attention sana,nakumbuka baada ya maamuzi kutolewa na kamati Kuu ya kuwa katimuliwa chamani alijitutumua kujibu mapigo lakini alipuuzwa,

Ikaja korona akaibukia DW( Deutch welle),akakomaa tutatengwa,akaona kimya hakuna aliemjibu,kifupi alipuuzwa.

Nashauri kwa kauli zake za jana trh 19/06/2020 huko kijijini kwake Londo, Lindi,ni muendelezo wa kutafuta attention,akijibiwa ni kumpaisha ,apuuzwe tu,chama kiendelee na taratibu kilizojiwekea bila ya kusemezana nae,litakuwa ni anguko lake bila kutumia nguvu kumuangusha

Ukiniwekea Membe na Msigwa kisha ukaniambia nani angefaa kuwa Rais au Mgombea Urais ningemchagua mapema mno tu Msigwa na si Membe.
 
Back
Top Bottom