Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,470
- 122,790
Na uendelee kukata tamaa hivyo. "Hasira na mkizi furaha ya mvuvi"
Kukata tamaa na kuongea ukweli ni vitu viwili tofauti.
Na uendelee kukata tamaa hivyo. "Hasira na mkizi furaha ya mvuvi"
Uchaguzi huu mtadhibitiwa bila hurumaNa uendelee kukata tamaa hivyo. "Hasira za mkizi furaha ya mvuvi"
Umeshauriwa usome katiba ya nchi sio ya CHADEMA!
Bahati mbaya au nzuri akili hua zinawarudia wakishakuwa nje ya system. Hata hawa wanaotoa povu wakitolewa leo, kesho watajiunga kutaka Tume huru.Huyu kiumbe anatafuta attention sana,nakumbuka baada ya maamuzi kutolewa na kamati Kuu ya kuwa katimuliwa chamani alijitutumua kujibu mapigo lakini alipuuzwa,
Ikaja korona akaibukia DW( Deutch welle),akakomaa tutatengwa,akaona kimya hakuna aliemjibu,kifupi alipuuzwa.
Nashauri kwa kauli zake za jana trh 19/06/2020 huko kijijini kwake Londo, Lindi,ni muendelezo wa kutafuta attention,akijibiwa ni kumpaisha ,apuuzwe tu,chama kiendelee na taratibu kilizojiwekea bila ya kusemezana nae,litakuwa ni anguko lake bila kutumia nguvu kumuangusha
Membe anawasumbua sana ccm na mkimpuuzia mtaona matokeo yake. Na mkiaach ashindane kwa haki na jiwe Membe anaibuka mshindi asubuhi sana.Huyu kiumbe anatafuta attention sana,nakumbuka baada ya maamuzi kutolewa na kamati Kuu ya kuwa katimuliwa chamani alijitutumua kujibu mapigo lakini alipuuzwa,
Ikaja korona akaibukia DW( Deutch welle),akakomaa tutatengwa,akaona kimya hakuna aliemjibu,kifupi alipuuzwa.
Nashauri kwa kauli zake za jana trh 19/06/2020 huko kijijini kwake Londo, Lindi,ni muendelezo wa kutafuta attention,akijibiwa ni kumpaisha ,apuuzwe tu,chama kiendelee na taratibu kilizojiwekea bila ya kusemezana nae,litakuwa ni anguko lake bila kutumia nguvu kumuangusha
Kauli yako hii Katiba chini vya Magufuli ni kama gazeti la udaku siyo ya kusema ukweli bali ya mtu aliyekata tamaa.Kukata tamaa na kuongea ukweli ni vitu viwili tofauti.
Furaha ya nini sasa kwa ushindi unaolazimishwa na vyombo vya dola na si kura za wananchi ?!Na uendelee kukata tamaa hivyo. "Hasira za mkizi furaha ya mvuvi"
Kama unajua maana na thamani ya raslimali muda, usingeleta lawama na madai ya Tume Huru mitandaoni.Kusoma katiba isiyotekelezwa, ni matumizi mabaya ya raslimali muda.
Kauli yako hii Katiba chini vya Magufuli ni kama gazeti la udaku siyo ya kusema ukweli bali ya mtu aliyekata tamaa.
Kama unajua maana na thamani ya raslimali muda, usingeleta lawama na madai ya Tume Huru mitandaoni.
Hata akipewa form hakatizi uwanja,ataoga lakini mjini haendiApuuzwe kwa kupewa fomu ili tuone ataambulia nini !
Huu ndo ukweli wenyewe.Watanzania sasa hawataki kuisikia ccm,wamebaki kulazimisha kutawala.Wengi hawataenda kwenye maigizo ya uchaguziMwenzio Mwigulu huko povu kama lote, mpaka amejikuta anaandika kwa herufi kubwa. Sio kwamba ccm hawataki kukaa kimya, ila watakaaje kimya wakati yeye anaongelea tume huru ya uchaguzi? Ifahamike kuwa hii tume isiyo huru ya uchaguzi, ndio roho ya ccm kuendelea kukaa madarakani.
Kama hakatizi kwanini hamumpiHata akipewa form hakatizi uwanja,ataoga lakini mjini haendi
Jipe moyoMembe anawasumbua sana ccm na mkimpuuzia mtaona matokeo yake. Na mkiaach ashindane kwa haki na jiwe Membe anaibuka mshindi asubuhi sana.
sasa kama ni hivyo mbona mnateseka ?Hata akipewa form hakatizi uwanja,ataoga lakini mjini haendi
Membe ameongea ukweli mtu.CCM KUNA FOMU MOJA TU YA KUWANIA URAISHuyu kiumbe anatafuta attention sana,nakumbuka baada ya maamuzi kutolewa na kamati Kuu ya kuwa katimuliwa chamani alijitutumua kujibu mapigo lakini alipuuzwa,
Ikaja korona akaibukia DW( Deutch welle),akakomaa tutatengwa,akaona kimya hakuna aliemjibu,kifupi alipuuzwa.
Nashauri kwa kauli zake za jana trh 19/06/2020 huko kijijini kwake Londo, Lindi,ni muendelezo wa kutafuta attention,akijibiwa ni kumpaisha ,apuuzwe tu,chama kiendelee na taratibu kilizojiwekea bila ya kusemezana nae,litakuwa ni anguko lake bila kutumia nguvu kumuangusha
Kila chama kina taratibu,mila na desturi zakeMembe ameongea ukweli mtu.CCM KUNA FOMU MOJA TU YA KUWANIA URAIS
Kosa lake ni nini kweli, tukumbushane kama lipoHuyu kiumbe anatafuta attention sana,nakumbuka baada ya maamuzi kutolewa na kamati Kuu ya kuwa katimuliwa chamani alijitutumua kujibu mapigo lakini alipuuzwa,
Ikaja korona akaibukia DW( Deutch welle),akakomaa tutatengwa,akaona kimya hakuna aliemjibu,kifupi alipuuzwa.
Nashauri kwa kauli zake za jana trh 19/06/2020 huko kijijini kwake Londo, Lindi,ni muendelezo wa kutafuta attention,akijibiwa ni kumpaisha ,apuuzwe tu,chama kiendelee na taratibu kilizojiwekea bila ya kusemezana nae,litakuwa ni anguko lake bila kutumia nguvu kumuangusha
Muulize Kinana aliyeomba radhiKosa lake ni nini kweli, tukumbushane kama lipo