Nawashauri wanaCCM kumpuuza Membe

Nawashauri wanaCCM kumpuuza Membe

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
8,271
Reaction score
9,114
Huyu kiumbe anatafuta attention sana,nakumbuka baada ya maamuzi kutolewa na kamati Kuu ya kuwa katimuliwa chamani alijitutumua kujibu mapigo lakini alipuuzwa,

Ikaja korona akaibukia DW( Deutch welle),akakomaa tutatengwa,akaona kimya hakuna aliemjibu,kifupi alipuuzwa.

Nashauri kwa kauli zake za jana trh 19/06/2020 huko kijijini kwake Londo, Lindi,ni muendelezo wa kutafuta attention,akijibiwa ni kumpaisha ,apuuzwe tu,chama kiendelee na taratibu kilizojiwekea bila ya kusemezana nae,litakuwa ni anguko lake bila kutumia nguvu kumuangusha
 
Mwenzio Mwigulu huko povu kama lote, mpaka amejikuta anaandika kwa herufi kubwa. Sio kwamba ccm hawataki kukaa kimya, ila watakaaje kimya wakati yeye anaongelea tume huru ya uchaguzi? Ifahamike kuwa hii tume isiyo huru ya uchaguzi, ndio roho ya ccm kuendelea kukaa madarakani.
 
Nashauri kwa kauli zake za jana trh 19/06/2020 huko kijijini kwake Londo, Lindi,ni muendelezo wa kutafuta attention,akijibiwa ni kumpaisha ,apuuzwe tu,chama kiendelee na taratibu kilichojiwekea bila ya kusemezana nae,litakuwa ni anguko lake bila kutumia nguvu kumuangusha
Kwanini Wampuuze wakati anadai haki yake au hujui katiba inasemaje ya chama Mwacheni apiganie haki yake
 
Mwenzio Mwigulu huko povu kama lote, mpaka amejikuta anaandika kwa herufi kubwa. Sio kwamba ccm hawataki kukaa kimya, ila watakaaje kimya wakati yeye anaongelea tume huru ya uchaguzi? Ifahamike kuwa hii tume isiyo huru ya uchaguzi, ndio roho ya ccm kuendelea kukaa madarakani.
Kwani 2015 alipokua anataka kugombea aliwahi kusema time haipo huru au au yeye ana tume yake huru yakumpa urais anaoulilia Sasa na baadae?
 
Huyu kiumbe anatafuta attention sana,nakumbuka baada ya maamuzi kutolewa na kamati Kuu ya kuwa katimuliwa chamani alijitutumua kujibu mapigo lakini alipuuzwa,

Ikaja korona akaibukia DW( Deutch welle),akakomaa tutatengwa,akaona kimya hakuna aliemjibu,kifupi alipuuzwa.

Nashauri kwa kauli zake za jana trh 19/06/2020 huko kijijini kwake Londo, Lindi,ni muendelezo wa kutafuta attention,akijibiwa ni kumpaisha ,apuuzwe tu,chama kiendelee na taratibu kilichojiwekea bila ya kusemezana nae,litakuwa ni anguko lake bila kutumia nguvu kumuangusha
Weka jina lako na Namba ya simu.
 
Huyu kiumbe anatafuta attention sana,nakumbuka baada ya maamuzi kutolewa na kamati Kuu ya kuwa katimuliwa chamani alijitutumua kujibu mapigo lakini alipuuzwa,

Ikaja korona akaibukia DW( Deutch welle),akakomaa tutatengwa,akaona kimya hakuna aliemjibu,kifupi alipuuzwa.

Nashauri kwa kauli zake za jana trh 19/06/2020 huko kijijini kwake Londo, Lindi,ni muendelezo wa kutafuta attention,akijibiwa ni kumpaisha ,apuuzwe tu,chama kiendelee na taratibu kilizojiwekea bila ya kusemezana nae,litakuwa ni anguko lake bila kutumia nguvu kumuangusha
Apuuzwe kwa kupewa fomu ili tuone ataambulia nini !
 
Mwenzio Mwigulu huko povu kama lote, mpaka amejikuta anaandika kwa herufi kubwa. Sio kwamba ccm hawataki kukaa kimya, ila watakaaje kimya wakati yeye anaongelea tume huru ya uchaguzi? Ifahamike kuwa hii tume isiyo huru ya uchaguzi, ndio roho ya ccm kuendelea kukaa madarakani.
Soma Ibara ya 74 ya Katiba ya JMT uchambue vifungu vinavyoifanya Tume ya Uchaguzi ipoteze sifa za kuwa huru. Bla bla za kulalamika na kulaumu ni mbinu za kuhamisha goli au kushindwa kwenye uchaguzi kiwe kisingizio.
 
Anaegawa hela mitaani kama njugu huku tukimshangilia na kumsifu, sijui naye huwa hatafuti attention?!
Attention hiko hapa!
tapatalk_1592681667868.jpeg
 
Soma Ibara ya 74 ya Katiba ya JMT uchambue vifungu vinavyoifanya Tume ya Uchaguzi ipoteze sifa za kuwa huru. Bla bla za kulalamika na kulaumu ni mbinu za kuhamisha goli au kushindwa kwenye uchaguzi kiwe kisingizio.

Katiba chini vya Magufuli ni kama gazeti la udaku.
 
Back
Top Bottom