Nawashauri CHADEMA wajiunge na CCM

aliemuingiza dr chadema sio ishu tunaangalia impact yake kwenye chama....Mbowe huyo huyo ndio aliemuingiza Lowasa ......tunajua dr alijiunga chadema baada ya kudhulumiwa kugombea ubunge karatu
Mimi ni mwanaccm nisiyepepesa macho. Unajua baada ya Mbowe kupata nafasi ya umwenyekiti uchaguzi wa kwanza alipata wabunge wangapi na madiwani ktk nchi nzima kama hujui jitahidi kufuatilia historia ya vyama vingine usiishi kwa mazoea kujifunza ni ni kujiondolea ukilema mku.
Kiongozi bora Afrika Mashariki unambeza wakati amebadilisha Siasa za hapa nchini hivi ni sehemu gani ya nchi utazungumzia hiki chama hakipo na kukita mizizi kabisa. Mwisho tumewafunga spidi gavana kwa kazi kubwa aliyoifanya
 
Mbona ushindi wa mabavu?hadi muue watu.....acheni uchaguzi uwe huru, sio maagizo kutoka juu eti ....nakulipa mshahara na gari nakupa mm halafu umtangaze mpinzani kashinda....ccm wepesi sana.
 
Mbowe alipogombea urais alipata kura ngapi?.........na dr.slaa alipogombea urais alipata kura ngapi?....Mbowe hana impact yoyote chadema anabebwa tu na mkwe wake Mtei
 


Nani ajiunge na chama cha mauaji, endeleeni tu kumwaga damu lakini kuna siku na damu zenu zitamwagwa.
 

Huyu Lowasa mnaesema hasafishiki mbona hamumpeleki Mahakamani?..

Mmekuwa kama 'Kasuku' bana kurudia rudia jambo hilo hilo kila wakati ,jambo lenyewe halina maana na la kijinga kabisa .
 
Huyu Lowasa mnaesema hasafishiki mbona hamumpeleki Mahakamani?..

Mmekuwa kama 'Kasuku' bana kurudia rudia jambo hilo hilo kila wakati ,jambo lenyewe halina maana na la kijinga kabisa .
Bora aendelee kuwa CHADEMA ili hata wale waliomwita fisadi papa wakose la kusema.
Note: CCM hawakuwahi kumtaja lowasa kuwa ni fisadi ila waliamini kile walichosema upinzani kuwa hafai ndio hata sababu kubwa ya kukatwa. Otherwise CCM wangejikuta kwenye wakati mgumu sana kwenye kampeni kumnadi.
 
True
 
Mbowe alipogombea urais alipata kura ngapi?.........na dr.slaa alipogombea urais alipata kura ngapi?....Mbowe hana impact yoyote chadema anabebwa tu na mkwe wake Mtei
Huyu ni mlanguzi na mchuuzi wa siasa ndiyo maana alimuuzia Lowasa chama choooooote kwa bei ya jumla
 
Mbona ushindi wa mabavu?hadi muue watu.....acheni uchaguzi uwe huru, sio maagizo kutoka juu eti ....nakulipa mshahara na gari nakupa mm halafu umtangaze mpinzani kashinda....ccm wepesi sana.
Kama mnaweza nanyinyi shindeni kwa mbavu tuone!
 
Hujui usemalo bora ungejinyamazia tu
 
Aliyemwingiza Dr Chadema ni nani zaidi ya Mbowe mku ktk siasa ww ni mpya kwa hiyo hujui ndo maana unakuja na jibu kama hili .Hivi unajua kisa cha Dr kujiunga na upinzani
Hata kama Mbowe ndiye aliyemuingiza Dr. Slaa chadema bado Dr. Slaa alifanya kazi kubwa ya kujenga chama kuliko huyo Mbowe wako! Ukitaka kujua hilo tafuta tofauti ya kura za urais alizopata Mbowe fananisha na kura alizopata Dr. Slaa.

Mbowe yupo kimasrahi zaidi ndiyo maana hataki kuachia uenyekiti wa chama.
 
Mku hata majibu yako yalivyo mepesi yanamaanisha ni mtu wa kurahisisha mambo
Nimekupa majibu mepesi kwasababu nimegundua huna uwezo wa kuhimili majibu mazito kwa hiyo imekuwa afadhali kwako bwana mdogo!
 
Mku kocha mchezaji habahatishi ktk usajili na katika usajili timu ni Msajili bila Msajili ni bure kabisa
 

Bora ukae kimya..kwa kuongea uongo Mchungu namna hii.

Lowasa hasafishiki kwa nani?
Kwa uchafu upi?
Nani analo jukumu la kumsafisha?


CcM wamenyang'anya Ushindi kwa njia ya mabavu. Kwa maagizo toka juu.
Cdm walijitoa baada kujua kua hawana udhibiti tena wa mtokeo.

Bahati mbaya Media zote zimewekwa mfukoni ili zimsifie bwana Mkubwa na genge lake. Kama.walivyofanya alipopigwa risasi tundu lisu. Hakuna pa kutolea povu tena.

Wewe kwa upofu wako unaamini wimbo unaoimbwa na wanasisiemu walaghai kama HP.
Ipo siku yalio gizani yatasemwa hadharani na ukaja aibika.
Bora nibaki kimya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…