Mkuu you are perfect!Bora mfanye hivyo vinginevyo nawahakikishia mtashindwa kila uchaguzi.....
Uchaguzi wa 2020 msitegemee kupata wabunge zaidi ya saba serious nawaambia...keep my words.
Sababu kubwa ni kwamba mlikosea sana mlipo kubali kubadirishana Slaa kwa Lowasa.
Ccm wajanja walipoona Lowasa hasafishiki wakawabadirishia nanyi mkakubali kumuacha Slaa aende.
Na Lowasa wakati wowote anarudi Ccm ,jiongezeni kumbukeni ya Mrema.
Huo ndiyo ukweli mchungu hata kama hamtaki! Nakaribisha povu lakutosha!
Nilishatukanwa sana wala siogopi lkn hatuna wapinzani Tz tuna wachumia tumbo akina Mbowe ndiyo maana walimuuzia Lowasa chama kwa bilioni kumi...Trust me Lowasa yupo Chadema lakn moyo upo Ccm soon utaona anarudi nyumbaniMkuu you are perfect!
Sioni siasa za upinzani kwa sasa zaidi ya maigizo.
Siasa za upinzani zilikuwepo 2015 kurudi nyuma, kilichobaki kwa sasa ni kila mtu kutafuta kick.
Ila uvumilie matusi mkuu za jamaa wa upande wa pili.
Kweli mkuu, hakuna siasa za upinzani tena, zimebaki siasa za mapanga visu, utekaji, maiti kuokotwa baharini, kamata kamata na uchuro mtupu was CCMBora mfanye hivyo vinginevyo nawahakikishia mtashindwa kila uchaguzi.....
Uchaguzi wa 2020 msitegemee kupata wabunge zaidi ya saba serious nawaambia...keep my words.
Sababu kubwa ni kwamba mlikosea sana mlipo kubali kubadirishana Slaa kwa Lowasa.
Ccm wajanja walipoona Lowasa hasafishiki wakawabadirishia nanyi mkakubali kumuacha Slaa aende.
Na Lowasa wakati wowote anarudi Ccm ,jiongezeni kumbukeni ya Mrema.
Huo ndiyo ukweli mchungu hata kama hamtaki! Nakaribisha povu lakutosha!
Huu tunacheza nao kwa kuwa tasisi za kimataifa hazipo ila uchaguzi mku sio kama unavyofikiria mku dunia ina mulika tena inawezekana ndo utatuletea mstakabali wa nchi. Na chadema sio wepesi kama unavyofikiria kumbuka dola imefanya kazi kubwa sana kwa maslahi ya muda mfupi.Bora mfanye hivyo vinginevyo nawahakikishia mtashindwa kila uchaguzi.....
Uchaguzi wa 2020 msitegemee kupata wabunge zaidi ya saba serious nawaambia...keep my words.
Sababu kubwa ni kwamba mlikosea sana mlipokubali kubadilishana Slaa kwa Lowasa.
CCM wajanja walipoona Lowasa hasafishiki wakawabadilishia nanyi mkakubali kumuacha Slaa aende.
Na Lowasa wakati wowote anarudi CCM, jiongezeni kumbukeni ya Mrema.
Huo ndiyo ukweli mchungu hata kama hamtaki!
Wapinzani leo mtandaoni tunapumua hali yao mbaya baada ya kipigo cha bao 42 kwa 1 hayo ndiyo matokeo ya kukubali kuwa wanafiki Kwa watanzania, hatuna utani ukiteleza tu umeliwa
Sijui kama wanaweza kukuelewa hapaLowasa hana cha kupoteza, kwanza amekula Chumvi nyingi(Umri umesonga), ameitumikia Ccm zaidi ya Miaka 40 ambapo ni zaidi ambavyo ataitumikia Chadema, ameshika Nyadhima muhimu na adhimu/Uwaziri/Uwaziri Mkuu, kwa ujumla ni Used & tired hivyo hakuna jipya analopambania ila anajaribu kama ataweza na kama hatashindwa si tatizo kwake hivyo hana commitment na sacrifice kwa anachopambania bahati mbaya akaungana na wa2 wenye dream na uchu wa kushika Dora, ila wenye mtizamo tofauti
Timu ya mpira usajili damu Changa sio Veteran hata kama uliwahi kuwa bora ktk ulimwengu wa Soka
Lowasa ni Veteran wa kisiasa kama alivyo Mugabe, mwai kibaki, kikwete