kibenten
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 499
- 510
KIBENTEN OFFICIAL
Anawasalimia WASICHANA wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,
Nawasalimia WASICHANA weupe mitandaoni ila mkiwa kwenu WEUSI
Nawasalimia WASICHANA Ninao watumia TEXT wanazijibu kwa NYODO mfano P,K,O,S!! Nakaribia KUOA,
_Nawasalimia WASICHANA wale Wanao kuomba URAFIKI FB halafu ukianzisha Chating wanakuuliza wew NANI Mimi ni Nyani kutoka Mikumi,
_Nawasalimia WASICHANA ambao ukiwatongoza wakakupa majibu ya SHIT ila ukipost picha ya demu wanaweka foleni inbox Kukuuliza huyo nani,
Nawasalimia WASICHANA wale Wanaopst picha ukiccoment Anareply ukimfata inbox Anauchuna ila ukitaja helaa Anakujibu kama UMEME WA LUKU Hamjambo jamani
Nawasalimia wale WASICHANA nilio watongoza mkanikubalia na mkaniomba HELA hapo hapo TumeachanaNiwaambie SICHUNIKI,
_Nawasalimia wale WASICHANA wazuri mpaka naogopa kuwafata INBOX nabakia kula kwa macho NAWAPENDA JAMANI
Nawasalimia Wale WASICHANA Tunao chuniana MITANDAONI ila Tukikutana MTAANI Mnaniita ita kama mnanijua PLEASE NIPENI BREAK,
Nawasalimia WASICHANA Ambao ni wacha MUNGU mitandaoni ila nje Ni wauza PAPA, Salamu Ziwafikie
Nawasalimia wale WASICHANA mnaosema hakuna TRUE LOVE mitandaoni hali ya kuwa Mkiombwa No za Simu Mnatoa, KARIBUNI CHAI
Nawasalimia Wale WASICHANA nilio watongoza MTANDAONI nampaka sasa tunaitana Honey Ila HATUJUANI
Nawasalimia wale WASICHANA woteee mliokimbia SHULE ila MTANDAONI wameandika wamesomea UDSM, IFM, CBE, SAUT NA UDOM nawakumbusha NAWAKUMBUSHA, MUNGU ANAWAONA
Nawasalimia wale WASICHANA ukichart nao wanakujibu kwa KINGEREZA ila ukimtukana Anakujibu kwa KISWAHILI Muoneni Ras Simba
Nawasalimia Wale WASICHANA wanao post PICHA NZURI ila hawataki kutongozwa UMEPOST YA NINI
Nawasalimia wale WASICHANA mnaojiita CUTE, PRINCESS PREATY, CANDY kumbe mtaani unaitwa Bupe, Sikujua, Havinitishi WAZAZI WENU WANAWATAFUTA,
Nawasalimu WASICHANA mnao TONGOZWA mtandaoni kisha mnasema Mtumiwe NAULI, Badilisheni Mbinu VYUMA VIMEKAZA!!
HIZI NI SALAM ZANGU KWAKO DADA!
Zinanitosha Mwenyewe!