Wala humpi unyonge,kama ww upo busy kuna nyumba ndogo ipo standby ina muhudumia!
afazali umewapenda watoto wako na sio serengeti boy au bosi wako wa kazini. big up.Habari zenu waheshimiwa mabibi na mabwana
Naomba ushauri wa jinsi ya kutatua tatizo langu la mapenzi ambalo mwenyewe linanikera na nahisi mwenzangu anakuwa mnyonge.
Ninahisi nawapenda zaidi watoto kuliko ninavyompenda baba yao. Muda wangu mwingi nautumia na watoto, kuanzia asubuhi kuwatayarisha kiusafi, kuwapa kifungua kinywa, na kuhakikisha wamekwenda shule kwa wakati stahiki. Baada ya hapo ni zamu yangu kujiandaa na kutoka nyumbani. Wakati mwingine nasahau hata kumwamsha baba watoto, kumwandalia nguo za kuvaa etc.
Nikirudi kutoka kazini jioni, nakuwa busy kutayarisha chakula cha jioni na baada ya hapo kuwasimamia na kuwasaidia watoto kufanya homework, na kuhakikisha kuwa wamelala wakati muafaka. Baada ya watoto kuwa wamelala naanza kufanya usafi wa nyumba, na kufanya maandalizi ya shule kwa watoto siku inayofuata, kunyoosha nguo zao, kuhakikisha kila mtu kaweka sawa vifaa vyake vya shule kwenye begi, na kuandaa snacks zao. Baada ya hapo huwa nahisi kuchoka mno na ninapoingia kitandani nalala fofofo.
Weekends niko busy na watoto kufanya shopping ya groceries, kutengeneza bustani, kufua, kucheza nao, kufanya homework na wakati mwingine kutembelea ndugu,jamaa na marafiki . Sina muda ambao naspendi na mume huyu na sijisikii kumpa attention ya kutosha. Mara nyingi huna naona ni wajibu wake kujimudu kwani ninahisi majukumu ya kuwalea na kuwasaidia watoto ndio ya kupewa kipaumbele, na wakati mwingine yananizidi.
Huwa nahisi anakuwa mnyonge. Hata nikijilazimisha, najikuta niko nae lakini mawazo yangu yote yako kwa watoto, huyu nahitaji kile, huyu kakosea hivi, huyu kafanya utundu huu na mawazo kama hayo. Wiki yangu huwa imekwisha na wiki inayoanza mchakamchaka wake ni hivyo hivyo.
Je kuna ambao hali hii inawatokea? Je mnakabiliana nayo vipi au ni mambo ya kawaida?
Naomba ushauri wa kukabiliana na hii hali kama sio ya kawaida, ili ni balance mapenzi.
afazali umewapenda watoto wako na sio serengeti boy au bosi wako wa kazini. big up.
analysis ya klorokwini: kwavile unawapenda watoto ina maana kila atakaewapenda watoto wako basi na wewe utajikuta unampenda automatically (hii ni psaikolojikal rule no.4).
ushauri wa klorokwini: mshirikishe baba watoto katika shuhuli za watoto na hakikisha watoto wanamfurahia baba yao, hii itakuathiri wewe umpende baba watoto kwa vile saikolojia yako itabadilishwa kupitia msingi wa penzi lako kwa watoto.
-THE END-
Tatizo ushalijua kuwa huwezi kubalance muda, mume na watoto. sasa wewe huna hata housegirl wa kusaidia kuandaa watoto wewe ukashughulika na muzeee??? Lakini shida nyingine hizi tunajitakia wenyewe
nilijua tatizo liko hapo na mbaya kuliko zote akitokea mwanaume mwengine akajaribu kuwaonesha upendo watoto wako trust me utaanza kufall in love nae (mungu akuepushie hiyo). angalia hobbies ambazo ni common kwa watoto na baba watoto halaf anzia hapo. let say baba watoto na watoto wanapenda swimming, basi pendelea kuwapeleka pamoja at least evry weekend. hii itasaidia baba kujenga urafiki na watoto.Ni mvivu anapenda kulala, kuangalia TV, na hata kama nina shughuli watoto wakaomba msaada kwake, atawaambia kamwambieni au msubirini mama. Nitajitahidi kumshirikisha. Asante sana Klorokwini.
haujamuelewa nazani, tatizo sio muda, tatizo ni anawapendaga watoto sana so kila watoto akiwashuhulikia mwenyewe anajiskiaga raha moyoni. ni kama mimi nakapenda sana ka laptop kangu, sasa nakuwaga staki mtu yoyote akaguse.Tatizo ushalijua kuwa huwezi kubalance muda, mume na watoto. sasa wewe huna hata housegirl wa kusaidia kuandaa watoto wewe ukashughulika na muzeee??? Lakini shida nyingine hizi tunajitakia wenyewe
nilijua tatizo liko hapo na mbaya kuliko zote akitokea mwanaume mwengine akajaribu kuwaonesha upendo watoto wako trust me utaanza kufall in love nae (mungu akuepushie hiyo). angalia hobbies ambazo ni common kwa watoto na baba watoto halaf anzia hapo. let say baba watoto na watoto wanapenda swimming, basi pendelea kuwapeleka pamoja at least evry weekend. hii itasaidia baba kujenga urafiki na watoto.
kazi zote za nyumabani , oficn na watoto ni ngumu kupata muda wa mzee labda yeye abadilike akusaidie kwenye watoto na kazi za home.House girl tena?! I will never ever hire one kwani nina hakika hili ni tatizo zaidi kuliko suluhisho.
Je unaushauri mwingine zaidi?
kazi zote za nyumabani , oficn na watoto ni ngumu kupata muda wa mzee labda yeye abadilike akusaidie kwenye watoto na kazi za home.
naomba nikuulize, kwanini hupendi kuwa na house maid?
Well, why housegirl ni tatizo kuliko suluhisho?, well there are things which I as a mother can't avoid doing but there are things that simply have to be done by a HG !!House girl tena?! I will never ever hire one kwani nina hakika hili ni tatizo zaidi kuliko suluhisho.
Je unaushauri mwingine zaidi?
Well, why housegirl ni tatizo kuliko suluhisho?, well there are things which I as a mother can't avoid doing but there are things that simply have to be done by a HG !!
Kwamfano wote tunatoka saa kumi na moja tuanze foleni from Mbezi kuelekea makazini na nina mtoto wa miezi 10 nyumbani, huyu namwachia nani kama si HG ?
Pia hawa wakubwa wakirudi toka shule saa 9 nani atawapikia kama si HG ??
The only day my HG rests is sunday and I take charge of cooking and everything
Jaribu kumshirikisha baba watoto kwenye homework, pia shuleni kuna sports day and school open activities zinazoencourage watoto na wazazi, hizo tunaenda sote na mume wangu
Kama leo jpili, HG yuko off mtoto mdogo yuko na baba na wakubwa wananisaidia upishi
What I really think, u have certain insecurities in your life,am thinking the fact that you do everything yourself is potray 'the superwoman attitude' which depict 'the perfect wife ' you have also brushed off having a housegirl as it brings more problems which answers your insecurities in trustin someone else doing what you are doing
Unless ur work is not involving..but some of us have to travel with little ones and an extra help..
I could go on and on, but you may PM me for further talks on this
Mhandisi
kuna kazi ambazo kwake ni simpo kama kuwasaidia watoto homework, kunyoosha sio za watoto tuu za wote including u, yote hayo hafanyi yuko biz na TV, ila kutongoza HG aliweza!!! kweli simba mwenda pole ndiye mla nyama.Nilimfumania live akifanya mapenzi na baba watoto, chumbani kwangu, kitandani kwangu. Nilimsamehe baba watoto na nilijiwekea msimamo kuwa sitaweka msaidizi nyumbani.
afazali umewapenda watoto wako na sio serengeti boy au bosi wako wa kazini. big up.
analysis ya klorokwini: kwavile unawapenda watoto ina maana kila atakaewapenda watoto wako basi na wewe utajikuta unampenda automatically (hii ni psaikolojikal rule no.4).
ushauri wa klorokwini: mshirikishe baba watoto katika shuhuli za watoto na hakikisha watoto wanamfurahia baba yao, hii itakuathiri wewe umpende baba watoto kwa vile saikolojia yako itabadilishwa kupitia msingi wa penzi lako kwa watoto.
-THE END-