Nawapenda sana malaya

Kamata Malaya mmoja anayekurusha roho tia ndani na kumpandisha cheo toka Malaya na kuwa mke AKA mwenza wa maisha.
 
Zaidi ya 150?? Duh! Kama ni kweli wanavyosema kwamba ukifa unabandikwa hizo vitu kwa idadi ya ulizopitia, then we jamaa Itabidi wakufungashie kabisa nyingine uende nazo, coz hazitatosha zote mwilini.
 

Kweli nimeamini, chombo cha kuzama hakina usukani
 
Mi nazani ungejiita wewe ndio malaya na sio hao unaowafata.

auncle we hujui 2, hawa watu wako kazini zaid ya hta miaka mi2 na zaidi tufanye ktk cku 365 za mwaka anapata wateja cku 290, ina maana wanaume 250 uktoa wale wanaojrudia, mara miaka aliyofanya umalaya?, we unadhan nani malaya hapo?
 
Wewe unaona ufahari kutembea na malaya 150?
 
dogo kama umepita tunduma baaaasi ..ukimwi wa tunduma hausikii condom uliza uambiwee
 
kwl mzoea vyaku nyonga vyaku chinja haviwezi....aya tunakungojea ward ya mwisho..(internal medicine)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…