Eeeh Nambie unavyonipenda mkuuAmeen....nakupendaje??
Umekalia seat ya mtu!Ameeen bwana yesu asifiwe sana
AnisameheUmekalia seat ya mtu!
Maneno yako ni kigongo msumari mkuu.... ila mimi niko huko unakodhani nitaelekea..so hii ni moja ya njia ninazotumia kunibembeleza.. na ni sehemu pekee ninayoweza onyesha hisia au namna gani nipo!Ushauri wangu kwako.
Kuconfess affection kwa online community ni sawa na kuonyesha kua in real life hua unajitenga/ umetengwa na wengine au unaanza kupoteza a touch of reality.
Siyo dalili nzuri. Soon unaweza kujikuta unakua antisocial na kujitahidi kufanya kila unaloweza ili kuwin back affection ya online community.
If you won' win back utajihisi umekataliwa. Na hiyo hupelekea depression, depression husogea mpaka kujiuliza ikiwa you worth living.
AmeniNi kweli mkuu....
Alitupa Amir mpya 'tupendane'
JoveMtu gani huyo tena darubini ??