Chumba Kweli nimepanga lakini sio mfanyakazi ni mwanafunzi wa chuo mpaka kuja kumaliza masomo, kutafuta na kupata kazi, kujenga nyumba yangu na kuwa na uwezo wa kujitegemea nimekadiria ni kama miaka 9 Ijayo.
Nipo hapa usingizi haupo kabisa.Tamaa zimewaka vibaya mno natamani namimi ningekuwa nimeshaoa tayari lakini umri na uwezo wa kiuchumi hauniruhusu kufanya swala hili haraka iwezekanavyo kama ningekuwa na uwezo ningejiongezea miaka na uwezo wa kiuchumi ili kufanikisha swala hili haraka iwezekanavyo maana naona suala linakwenda taratibu mno .Acheni tu kipindi hiki kinaniwia ugumu mno kumbe mapenzi yanatesa moyo kiasi hiki.Maana nipo hapa nimepanga kwenye chumba kimoja niko peke yangu .Kwa kweli mapenzi ni kitu kingine kabisa.Ngoja nivumilie ipo siku nitampata tu wa kufurahisha moyo wangu.
Chumba Kweli nimepanga lakini sio mfanyakazi ni mwanafunzi wa chuo mpaka kuja kumaliza masomo, kutafuta na kupata kazi, kujenga nyumba yangu na kuwa na uwezo wa kujitegemea nimekadiria ni kama miaka 9 Ijayo.
Waliopo ndani wanatamani kutoka nje na waliopo nje wanatamani kuingia ndani.
Angalia tu tusije kuona kwenye magazeti ya Shigongo umebaka kuku au mbuzi...
Chumba Kweli nimepanga lakini sio mfanyakazi ni mwanafunzi wa chuo mpaka kuja kumaliza masomo, kutafuta na kupata kazi, kujenga nyumba yangu na kuwa na uwezo wa kujitegemea nimekadiria ni kama miaka 9 Ijayo.
Waliopo ndani wanatamani kutoka nje na waliopo nje wanatamani kuingia ndani.
We si ulisema ulipataga mchumba humu mmu? uchumba uliishia wapi?
Miakaa 9 ujuee na kufaa ni muda wowotee kula raha kijanaa shauri yakooo maisha mafupii huko mbiguni hakuna kuoa wala kuolewaa Yesu alimalizaaaa
Na walioko kwenye ndoa wanataka wawe kama wewe