ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,579
- 44,826
πππ
Naomba kumjua kama una kapicha kake.Humjui manengelo vizuri kumbe
safi sana hawa ndio wazuri na watamu sasa
Sijamzoea yule na alivyo na macho mekundu duh!Muombe mwenyewe, kwani unamuogopa
No boss ila najua hana tako.ha ha, we jamaa bwana. Muombe bwana atakupa, wala hana makuu.
Wewe ndiyo kabisa hata kiuno hakuna.utuache na vimakalio vyetu
ulijuaje mkuu,,Yani naenda kama narudiWewe ndiyo kabisa hata kiuno hakuna.
Hii inaitwa hana mbele wala nyuma
Ana tako flani mashaalah! Lakini siyo LA kuvunja chaga
Yaani wewe hata ukisimama na Ringo akuzidi nyonga.ulijuaje mkuu,,Yani naenda kama narudi
πππ mule muleeee! hujakoseaYaani wewe hata ukisimama na Ringo akuzidi nyonga.