S Salumby7 Member Joined Jan 24, 2013 Posts 18 Reaction score 2 Nov 9, 2013 #1 nahitaji kuipendezesha na mimi blog yangu kwa kuweka picha tofauti kama kivutio kwa watembeleaji na kuweka habari pamoja na picha yake unaweza kuniambia mkuu nifanyeje plz nahitaji kupata ushauri wako na kusikia MAWAZO yako...
nahitaji kuipendezesha na mimi blog yangu kwa kuweka picha tofauti kama kivutio kwa watembeleaji na kuweka habari pamoja na picha yake unaweza kuniambia mkuu nifanyeje plz nahitaji kupata ushauri wako na kusikia MAWAZO yako...