Nawaomba wanisamehehe wote niliowakosea 2016

Andrew Nyerere

Verified Member
Nov 10, 2008
3,010
2,000
Wote niliowakosea mwaka unaokwisha sasa nawaomba wanisamehe.
Binadamu ni infallible. Binadamu hapaswi kufanya makosa yoyote.
 

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,343
2,000
Anko Andrew asante, ulinikosea na nilijisikia vibaya pale nilipokusalimia ukakataa kuitikia, hata pale niliposisitiza Salamu kuwa nakusalimu ulitishia kunivuruga,....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom