Nawanyoshea kidole wanawake msitafute mchawi.

Ndugu unayoyasema ni sahihi kabisaaaa,
1.Laiti kama wanawake wangegundua kuwa mwanaume ni kama mtoto,utakavyo mlea vizuri hata kupita mahali anywe bia moja ataona anachelewa nymbani.
2.Wanaume wengi wanasingizia kazi nyingi ili tu wachelewe kurudi nyumbani japowakute Vuvuzela limesinzia.
3.Kati ya kitu ambacho mwanaume hapendi ni kupigiwa kelele aukufokewa.
KWAKWELI HAKUNA HAJA YA KUTAFUTA MCHAWI.
 
dada vyangu I wish ungeweza kufungua akili za watu ukana jinsi ndoa zinavyokuwa mzigo muda mwingine.Nakwambia hivyo nikiwa na ushahidi.Kama kunasababu kwanini usiiseme kama mwanamke anayejua maana ya ndoa?Unakuta mtu amekaa na jambo hata wiki nzima,Jaribu kubembeleza ujue tatizo lipo wap ili urekebishe,unanuniwaaaaaa mpaka basi.Maisha gani hayo sasa?Bora ukatafute Faraja nje.
 

Cantalisia! Bahati mbaya hizi debate tunazifanya mitandaoni, but niamini haya ndiyo yalio halisi tukutanayo katika jamii zetu. Mf. Halisi wa internal conflicts nimeuweka hapo mtu unakuta 2010 umemsafirisha kwao abt 4 trips.
Trip 1 ya harusi, 2 ya msiba, 3 arobaini, 4 kusalimia. 2011 kaenda kwao mara 2 hii Decembar anataka kwenda kwenye harusi kumwambia hauko fit ugomvi hadi hamsemeshani! Ham'do ! Hebu nambie suluhisho namie kibaolojia sipitishi siku 3 bila kugonga! Nikagonge wapi !
 
ila kweli wanawake visirani vinatuponza kwenye nyumba. ilo sina upinzani cz kila kitu kina ukweli.

Iv mwenze2 unaweza ukaamka 2 afu ukawa na kisiran tena kwa mumeo bila sababu ya msing mh litakuwa pepo ilo mamie. we endelea wajanja watamuwah mumeo afu ndio litakutoka ilo pepo. unanuna kwa sababu jaman sio unanuna tuu mh. ndoa zitawashinda mapema mbona.
 
Wakati mwengine tatizo hwa pande zote.... Solution si kununa ila KUWA MUWAZI NA KUSEMA NA MWENZI WAKO. Tena kwa upole kwamba kuna tatizo hili na hili, mimi huwa sipendi kitu hiki na co kwa kufoka. Na mwanaume anatakiwa kuuliza kwa upole kulikoni bibie kuna kitu kimekukwaza unajua wengine huwa tunakuwa kimya tusipouliza ila tukiulizwa ndo hapo tunafunguka......
 
@judgement,hapo tatizo liko wazi hakuna ushirikishwaji hasa ktk kipato cha familia,km ungemshirikisha angekuwa kila wakati anajua mmewe yuko kwenye position gani ya kipato,hawezi kuja na request za ajabu km kweli ni mke mwenye cfa za mke na co msichana,pili km mnashirikiana mtakua na vipaumbele kulingana na kipato chenu so km yuko awere hawezi kukurupuka!alafu km mume unatakiwa kujua mapungufu ya mkeo na namna ya kudili nayo sio kukimbilia kuchiti!alafu mwanamke anayenuna badala ya kushiriki kutafuta suluhu nina wasiwasi na uanamke wake,na siku zote mwanamke mwelewa lzm atatauta amani ya ndoa yake kabla ya wakati wa kulala.
 
sawa tunkubali hamuwezi kununa bila sababu,tatizo linakuja unapoulizwa mamaa whats wrong wewe unajibu nothin halafu unanuna zaidi.sasa mnategemea tubluetooth akili zenu kujua sababu?
 
craaap. . Mwanamke harudi amechoka? Haya mawazo mgando ndo yanasababisha matatizo we kwa nn uwaze kucheat tu!
 

na kusikiliza umbea wa saluni je? Mi wangu haruki!! Nikimshikia kiuno tu,anapiga goti!
 
Huu ndo uungwana, hongera kwa kuwa mkweli Sister! Natamani ningekupa zawadi ya x-mass kwa uungwana wako, natumaini ni funzo kwetu sote.
ah Edo kumbe unatamani, mi nilidhani unataka kunipa zawadi ya x-mas.
 



siku zote mwenye macho haambiwi tazama,

na mwenye kusikia haambiwi neno................................kazi ni kwako
 
na siyo kila sababu lazima unune, na kuna sababu unaweza kuona ya kununa kumbe mwenzio anaona ya kawaida. na sijasema kama mim niko hvyo ila nimeongelea kwa uelewa wangu na watu niliowaona wengi wao wako hvyo.
 
ila kweli wanawake visirani vinatuponza kwenye nyumba. ilo sina upinzani cz kila kitu kina ukweli.



mwanamke na kisirani ni kama samaki na maji jinsi wanavyopatana.................................
 
na siyo kila sababu lazima unune, na kuna sababu unaweza kuona ya kununa kumbe mwenzio anaona ya kawaida. na sijasema kama mim niko hvyo ila nimeongelea kwa uelewa wangu na watu niliowaona wengi wao wako hvyo.


mkiwa mnakubali ukweli huu, hakika mnapendeza sana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…