Nawamiss Ila......

Rich Woman

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
867
Reaction score
558
Kitambo kimepita sijatia magulu humu ndani kwa wenyeji na wageni pokeeni salamu zangu..
Nimewamiss sana ila...nilikuwa busy kwenye kampeni ya kutunisha mfuko wangu kama mjuavyo jina linasadifu haina haja ya kujielezea kwamba mimi ni nani..

Salamu ziwafikie Mphamvuwangu wa moyo, Arushaone, Erickb52, watu8, mimisa nmekumis hata nashindwa kuelezea, charminglady, Ruttashobolwa, Mamndenyi, Mtambuzi, Babu Asprin, manoah, Bishanga, Mtambuzi nalimiss sana somo lako la kutambua tabia za watu kwa kuwatizama nyuso zao

Jamani ni wengi kama sijakutaja si kwamba sijakumiss hapana..
You mean a lot to me nawapenda wote
 
Last edited by a moderator:
lipa kodi kwa naendeleo ya taifa.
Source radio one
Nimelipa bwana...
Raia mwema mie japo maendeleo ya taifa nayaona kwa kiasi kidogo ila kodi nalipa kwa uaminifu wote
 
umepotea kama mizizi ya mawe...
 
Karibu sana japo na wengine muda huu maisha yanataka kutuzidi spidi.
 
Taratibu bibie. Huku tupo in pairs. Tena uje taratibv haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…