Nawakumbusha wezi... Weekend hii..!!

Napita tu hapa naelekea mitaa ya kati namihadi na mke wa mtu.
MP.
 
Data. Umewahi kutmbelewa na popo bawa?

Kuna anasema hivi karibuni anakutumia.

Hamna ane baka mke/mume wa watu. Woote wana jipeleka kwa hiyari na upendo wao. Lakini consequences huwa baaaaad.
 
..naanza kuamin kwamba uchakachuaji ni suala la kawaida... Aisee!!
 
Back
Top Bottom