Taja walichofanya ili hoja yako iwe na maana. Isije ikawa ni sura zao tu ndio zimekuvutia

nimejitahidi kuzuia hisia zangu imenibidi sasa niseme ukweli, hawa viongozi wakuu wa vyama vya upinzani hapa Tanzania hususani CHADEMA Dkt. Slaa na Kamanda mbowe nimeamua nijiunge Hapa JF ili namimi nionyeshe hisia zangu za dhati kuwaombea kwa mungu waishi maisha marefu na salama ili watukomboe haraka iwezekanavyo.
Mimi namkubali sana kamanda Mbowe kwa kuwahadaha watanzania kwa kitendo chake cha kurudisha gari la kambi rasmi ya upinzani (kub) kwa mbwembwe nyingi mbele ya waandishi wa habari kama Tumaini makene na kulichukua tena kimyakimya!Jenga hoja za kwanini unawakubali ili topic iwe more precious.
Hata mimi namkubali sana DK.SLAA kwa kumuondoa kazini kamanda Mwigamba aliyekuwa mwasibu mkuu chadema makao makuu na nafasi yake akampa mchumba wake josephine maana Josephine alikuwa anategemewa sana na UN kuhusu mambo ya accountant so kipaji kilikuwa kinafia kitandani!
Pia namkubali sana Slaa kwa kumwambia Chiku Abwao akikopeshe chama milion 5 kwa ajili ya uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa wa Iringa na akampa mamlaka ya kusimamia uchaguzi huo na kumruhusu Chiku mwenyewe kuwa mgombea wa uenyekiti wa mkoa na mwisho Chiku kushinda kiti hicho!
Tunashukuru busara za kamati kuu ya mwisho wa mwezi wa4 kutengua uamuzi huo ambao wajumbe wa cc waliconclude kwamba Dk. Slaa hafai hata kuwa kalai wa hospital ya kata!

Umenena vyema sana kiongozi. Imefika muda sasa hawa viongozi vilaza Tanzania wapumzike maana hawana hoja nyingine zaidi, kazi yao kubwa ni kuchochea vuruguna hatimaye watu wanakufa(Arusha).
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Mimi namkubali sana kamanda Mbowe kwa kuwahadaha watanzania kwa kitendo chake cha kurudisha gari la kambi rasmi ya upinzani (kub) kwa mbwembwe nyingi mbele ya waandishi wa habari kama Tumaini makene na kulichukua tena kimyakimya!