Nawakaribisha wana JF kesho Pasaka

Nawakaribisha wana JF kesho Pasaka

Ikiwa kesho (jumapili) ndiyo siku aliyofufuka YESU, basi wasabato wako sahihi, jumamosi ndiyo sabato, siku sahihi ya kuabudu sasa kwanini tunaabudu jpili.
Msaada najaribu kuwaza tu juu ya tuliyoaminishwa
 
Kesho tukikosa au tukipata tunashukuru kwa Kuona pasaka kwa mara nyingine Tena cha muhimu afya na uzima tu
 
Back
Top Bottom