Nawahi kufika kileleni, nifanyeje?

Inog01

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
1,286
1,938
Ndugu wanajamvi,

Kutokana na kuongezeka kwa wimbi la tatizo la upungufu wa nguvu za kiume hivo naomba kujuzwa zaidi na wataalamu na wazoefu wa mambo hayo kama ni miongoni nwao na je nifanyaje ili kuwa katika hali ya kawaida na kuondokana na tatizo jingine msongo wa mawazo.

Katika makuzi yangu zikujihusisha sana na kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza nimefanya tendo hilo nikiwa na miaka18 nakumbuka niliperfom vinzuri sana.Ilinichukua tena kama miaka 5 mingine kufanya mapenzi hapo ufanisi ulipungua ,kabla ya mara hii ya pili nilijihusisha sana na kujichua kutokana na mazingira niliyokuwepo na nimeendelea na mtindo huo kwa mda ingawa nilitamani kuacha ila nilikuwa nashindwa.

_Kilicho nisibu hadi kuomba ushauri ni kuwa wiki kadhaa zilizopita nilifanya mapenzi ila niliwahi sana kufika ni kama ndani ya dakika mbili ama tatu tu afu ikanywea haraka sana,ilinichukua mda kuanza tena na hali ilikuwa ile ile ndani ya dakika moja nilifadhaika sana.Sikuwa na uwezo wa kuendelea japo akili ilikuwa inataka mwili ulikataa kabisaa.Siku hizi hata nikiamka asubuhi ngoma imelala tu. Naona aibu hata kufanya mapenzi tena maana natakuwa namchezea binti wa watu.

Naomba kujua kama naweza kuwa fresh na je nifanyaje kwa tatizo hili?
 
Fanya mazoezi ya pushups,kunywa maji mengi,kula vyakula vya wanga,karoti,ndizi,juice ya vitunguu swaumu,Tangawizi bila kuchanganya na kitu,matikiti maji,pumzika na kama unajichua acha.
sawa mkuu
 
Ungeondoa kwanza wazo kuwa umepungua nguvu za kiume. Liondoe akilini, leta kitu kipya mara kwa mara, jitahidi kumchezea (Kumwandaa) kwa mda mrefu kidogo huku ukiwa umejituliza pia mwache akuchezee na hata kukunyonya. Badili style mara kwa mara. Kumbuka, msongo wa mawazo na hayo mambo haviendi pamoja. Tulizana utashangaa kazi utakayotoa
 
Tatizo la kupiga bao mapema hata inatokea sasa dawa yake nimeipata natumia dume condom asee bao la kwanza kutoka ntapiga kama tako 400 za mwendokasi mpaka kiuno nasikia kimechoka bado tu sijapata hamu ya kupissy ndipo nachomoa condom alafu namaliza dakika mbiii au nusu dakika mara wazungu weupe hao.. Condom + kavu = 20 mins A.k.A Tako 400 mtoto kachoka kabisa hataki tuendelee na anafika kilelen na hamu nishamtoa hizi mambo ni ujanja tu..
 
huwezi huwa serious mkuu
 
hii kaulii ya tako mia nne sitaisahau a ha ha ha ha ha iyo nimei screenshot kabxa .... ha ha ha ha ha ilo wazo huyu alitoa wap
 
Hili tatizo limekuwa janga kwa taifa, refer au rejea NYuzi Ambazo Ziko strictly kwa jukwaa LA afya
 
1Saga tikiti maji Kamua na Ndimu Kunywa Lita moja
2 Usage Mdalisini changanya na Asali kunywa vijiko 2 kwa week 1 kila Siku
3 Juice ya Tende
4 Epuka kula vitu vya mafuta
 
Fanya mazoezi ya pushups,kunywa maji mengi,kula vyakula vya wanga,karoti,ndizi,juice ya vitunguu swaumu,Tangawizi bila kuchanganya na kitu,matikiti maji,pumzika na kama unajichua acha.

Kwa mchanganyiko huo hapo ni sawa na kumwambia ale pilau tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom