Nawaheshimu wote

Mkumbavana

Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
79
Reaction score
22
Kuingia moja kwa moja bila ruhusa ni utovu wa nidhamu hivyo nawaheshimu sn naombeni mnikaribishe jamvini.
 
hilo neno sn linamaana gani?

karibu sana jamvini..
 
Karibu lakini usiwe unaandika post kama ulivyozoea kuandika sms, maana wengine ni wazee.
 
Kwetu ni pazuri so welcome and join with us
 
Hata wanaochangia upupu humu unawaheshimu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…