Nawachukia makaburu Weusi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawachukia makaburu Weusi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TumainiEl, Jan 12, 2011.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,642
  Trophy Points: 280
  Dr nikiwa kijana mwenye uchungu na ham yakuona Taifa hili cku moja kila mtanzania atapata nafasi kuifaidi nation cake! Nakutia nguvu nakukuombea kwa Mungu angalau uje leta mapinduzi ktk Taifa hili. Najuwa unapingwa na kundi dogo sana la matajiri wakwepa kodi na wezi warasilimali za watanzania! But i stil real have a hope 4ths nation 4tomrw yakuwa UTALETA MAPINDUZI YAKWELI NA MABADILIKO YA KWELI KTK KILA SEKTA. SIKUSHAURI SIMAMA KTK MAPAMBANO YAKO,AMA SIKUSHAURI KUTEMBEA ILA NAPENDA KUKUSHAURI KUONGEZA MWENDO KWA KUKIMBIA MAANA VITA HII UTASHINDA NA SERIKALI HII HII ITAKUJA KUWAOMBA RADHI WATANZANIA PIA NAKWAKO. NELSON MANDELA PINDI ALIPOKUWA AKITOWA SPEACH YAKE YAKWANZA ALISEMA: "NAWACHUKIA MAKABURU WEUPE NA MAKABURU WEUSI NAKWAHAKIKA NITAPAMBANA NAO" Taifa hili linakaburu Mweusi aliejikita mising yake ktk ccm! Tafadhali tumng'o natulete usawa ktk taifa hili teule! ccm sio baba wa taifa hili hvyo nguvu tunazo, nia ipo na uwezo upo maana hawawez kumwaga dam ya watanzania wote kama walivyo fanya Arusha.
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wazanzibar wanawaita wabara makaburu weusi na wewe unawaita ccm makaburu weusi jamani?
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ohooo,one love
   
Loading...