Najua...boksi ni mjumuisho tu wa ajira ughaibuni no offence intended.Wala sipigi box huku mkuu... nipo na professional job ktk high profile organization.
#kazinabata#
Unahitaji ushawishi kidogo tu...Naogopa vitu vya bure
Haha wala namimi sijawaza juu ya offence ila ukisikia boksi huku tunamaanisha za wale jamaa zetu un skilled au kazi za kuvuja jasho [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Najua...boksi ni mjumuisho tu wa ajira ughaibuni no offence intended.
Karibu...ila mababes kumi wengi sana, hutahitaji msaidizi?Haha wala namimi sijawaza juu ya offence ila ukisikia boksi huku tunamaanisha za wale jamaa zetu un skilled au kazi za kuvuja jasho [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Duh haya mkuu ngoja nitafute ustaarbu mwingine....nilitaka kuwa msaidizi kama mzigo ungekuwa mzito kidogo.Hao nawamudu si wengi. Wasaidizi wapo mkuu.
Kitu cha bure tu hakipo,huezi tumia Pesa ya mtu bila sababu inabid anaseme anataka nn kwa hao wanawake 10Unahitaji ushawishi kidogo tu...
Twende Dubai weekend...kwasababu hupendi vya bure jilipie.Kitu cha bure tu hakipo,huezi tumia Pesa ya mtu bila sababu inabid anaseme anataka nn kwa hao wanawake 10
Naeza enda Alafu kesho yake nijikute sina Figo moja[emoji23][emoji23]
Wote inabidi tuviogope ,vina malipo makubwa sana baadaeUsiogope mrembo, wanaume tumeumbwa kwaajili yenu so relax. Mwanaume ndiye anapswa kuogopa vitu vya bure sio wewe bhn. Karibu sana.
Hahaha mrembo utakuwa ktk hali nzuri na ya usalama kabisa, mfano kwa hapo Dar after bata utarudishwa kwenu.Kitu cha bure tu hakipo,huezi tumia Pesa ya mtu bila sababu inabid anaseme anataka nn kwa hao wanawake 10
Naeza enda Alafu kesho yake nijikute sina Figo moja[emoji23][emoji23]
Usiogope mrembo havina gharama yoyote.Wote inabidi tuviogope ,vina malipo makubwa sana baadae
Ila utawapata hata ucijali humu wapo wengi sana,tena kipindi hiki cha sikukuu wengi wanahitaji mapumziko ya free ili kusave hela ya January
Naenda zangu sikukuu KiboshaTwende Dubai weekend...kwasababu hupendi vya bure jilipie.