vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,640
Dah inawezekana ni huku nilipo asee.....Haya bana...Mi bado nipo youtube...Nimehamia kwenye Kanga moko nowKumbe uko Arusha toka uko njoo duniani utawasikia
Hahaha, we unatafuta ugomvi sasaKamata chiniiii kamatia chiniii wapo vizuri balaa wanamzidi hata domo na bibi yake
Of coz hilo nalo neno....Unadhani wanapata airtime wanayostahili?mleta uzi ukisema uangalie views za youtube bs utasema kila msanii ana tatzo, inatakiwa uangalie wanapata airtime kiasi gani
Hapo Nareel agonge Wema na Aika agongwe na Diamond ndio watajulikana fasta fasta 😀 views 2m youtube ndani siku mojaHabari wakuu,
Aisee leo nilikuwa nazurura zurura youtube nikajikuta napitia video moja moja ya hawa jamaa wanaojiita Navy Kenzo....Dah these guys are so under rated...The guys are not just good, they are awesome!
Wana hits kali sana hawa jamaa.. Nahreel ni mtu mmoja mbaya sana....Yani anatisha mbayaa...
Lakini mbona naona kama hawapati promo ya kutosha...Yani siwasikii wakizungumziwa mitaani...Hivi tatizo ni nini hasa..Maana kwa sasa hit songs almost zote ni mkono wa nahreel ispokuwa chache....Goma kama zigo la AY almost kila kitu kafanya Nahreel...
Madude kama Game na Kamatia chini, video zake ni level nyingine asee...Lakini views youtube hazijafika 1m....
Au ni huu ushabiki maandazi wa kibongo ndo unachangia?...Yani kisa wao hawako katika ile beef ya wale wawili? Au mnatutenga sie wa Arusha?
The Industry for life
Dah ishu sana asee..... Whats happening to good music?Hapo Nareel agonge Wema na Aika agongwe na Diamond ndio watajulikana fasta fasta 😀 views 2m youtube ndani siku moja
Sio scandals, chochote anachogusa Diamond kinakuwa Lulu, jaribu pita YouTube uone hata interviews zake zina view za kutisha. Niliangalia juzi interviews alizofanya DMarios na watu tofauti zina views elfu kidogo lkn alizofanya na Diamond pekee Ina zaidi ya 60K.Yaani nashukuru na wewe ulinotice hichi, sema nahisi kwanza hawana scandle, the music industry ya sasa hivi bila kaji scandle hautoki
Pili wangeomba colabo mmoja na diamond, ingewa boost balaa.
Jamani Fan base ya diamond ni kubwa sana, imagine nyimbo ya Zigo ya diamond na Ay ina almost 4.8 million views na imetoka juzi tu.
Wakati Ay aliimba na sean kingston video hata views 500k haijafika.