Navutiwa sana na wanawake wenye “Stretch marks “

Katika moja mbili tatu ya aina za wanawake niliokutana nao kimwili, kiukweli huwa navutiwa mno na wanawake wenye michirizi ya kutanuka, kizungu wanaiita “stretch marks”.

Sio mabonge, wengine ni ma model kabisa wanakuwa nazo.

Navutiwa zaidi nikiziona kwenye maeneo ya ma.ta.cal* aisee si mchezo!

Mwanzoni mwa mwezi huu nimepata kasichana kamoja kakali cha chuo, kameenda hewani halafu ana kashape ka wastani.. siku niliyokuja kupinduka kwenye 6-kwa-5 namkuta anayo hiyo mistari pendwa! Bwaana wee!!

Mbona alielewa show!

(Attachment: Mfano wa picha, sio huyo wakuu)
View attachment 1658256



Tujuzane wakulungwa wenzangu, nyie mnaelewa nini?
Wenyewe wameshakijua unachokitafuta
 
Mungu fundi sana linapokuja swala la Art ya Kumremba mwanamke hapo ndio nazidi kumkubali Mungu ameumba vitu Unique sana kwenye Mwili wa mwanamke
 
First time naziona hizi alama nikajua demu kawaka aseetena alivyo sema zina washaa hhhaa nikavaa na gloves za tanesco kabisaa kuzuia shoti za umeme
...Kuna Muda zinawasha..Ila Kama unatumia mafuta Ngozi sio kavu hasiwashi..

Zinatokea Sana wakati mwanamke anabalehe (sio wote)...mwili unakuwa unatanuka Sana...hivyo zinatokea

Pia kubeba ujauzito..zinaweza zikatokwa nyingi Sana Tumboni...
 
Back
Top Bottom