Navutiwa sana na wanawake wenye “Stretch marks “

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,236
14,203
Katika moja mbili tatu ya aina za wanawake niliokutana nao kimwili, kiukweli huwa navutiwa mno na wanawake wenye michirizi ya kutanuka, kizungu wanaiita “stretch marks”.

Sio mabonge, wengine ni ma model kabisa wanakuwa nazo.

Navutiwa zaidi nikiziona kwenye maeneo ya ma.ta.cal* aisee si mchezo!

Mwanzoni mwa mwezi huu nimepata kasichana kamoja kakali cha chuo, kameenda hewani halafu ana kashape ka wastani.. siku niliyokuja kupinduka kwenye 6-kwa-5 namkuta anayo hiyo mistari pendwa! Bwaana wee!!

Mbona alielewa show!

(Attachment: Mfano wa picha, sio huyo wakuu)
tapatalk_1598464978499.jpeg




Tujuzane wakulungwa wenzangu, nyie mnaelewa nini?
 

Attachments

  • tapatalk_1598464978499.jpeg
    tapatalk_1598464978499.jpeg
    48.5 KB · Views: 13
Back
Top Bottom